Polisi, Ukawa jino kwa jino

Jeshi la Polisi limeendelea na kamatakamata ya wapinzani wa vyama vinavyounda Ukawa katika maeneo mbalimbali likieleza sababu tofauti za kijinai zinazohusishwa na masuala ya kisiasa. Source: Polisi, Ukawa jino kwa jino

Rate this:

Maalim Seif atetewa Zanzibar

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), kimesema Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim, aachwe afanyekazi yake bila ya kuingiliwa na wanasiasa kuhusu kukamatwa na kufunguliwa ma… Source: Maalim Seif atetewa Zanzibar

Rate this: