Wanaoendelea ni watu waliohuru

Originally posted on Zanzibar Yetu:
Na Juma Duni Haji KATIKA makala zangu mbili nimeeleza maana ya uhuru na kwa nini tumedai uhuru. Nimejitahidi kufanya uchambuzi wa kina kwamba ili tupate maendeleo lazima sote watawala na watawaliwa tuwe huru, tujielewe maana sote tunahitajiana. Rais anaitwa Rais kwa sababu kuna watu, si kwa sababu kuna wanyama au…

Rate this:

Uislamu ni dini ya nidhamu

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewasisitiza Waislamu nchini kuachana na tabia ya kugombania misikiti, kwani haisaidii kuendeleza dini hiyo. Amesema misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu, hivyo hakuna sababu kwa Waislamu kulumbana kwa sababu za kugombea uongozi au kutokana na tofauti ya kimadhehebu. Makamu wa Kwanza wa Rais wa…

Rate this:

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Assalaam alaykum warahamullahi wabarakkatuh – Zenjibarza Network- inapenda kutambulisha Blog yake nyengine ya Zanzibar ni njema mwenye heshijmaze na aje unaweza kufaidika na habari moto moto zilizohakikiwa na waandishi wa habari mahiri na waandamizi kutoka Zanzibar na nje, Blog yenyewe ni hii http://uwelenizone.blogspot.com ahsanteni kwa kutuunga mkono. Zenjibarza Network Masoud Kh. Hamed (Managing Director).

Rate this:

Wazanzibari sio Waskochi

Originally posted on Zanzibar Yetu:
Matokeo ya kura za maoni huko Uskochi yameacha gumzo barani Afrika. Kuanzia Abuja hadi Arusha Waafrika tunajiuliza kuna nini cha kujifunza. Hapo Mji Mkongwe, Zanzibar hiyo ndiyo habari ya mjini. Rafiki yangu mwenye uzalendo wa Kizanzibari amenishtusha kwa kunitumia ujumbe usemao “naona umefurahi…haya furahia” baada ya kumtumia taarifa kuhusu matokeo…

Rate this:

Serikali itasimamia ajira kwa vijana

Originally posted on Zanzibar Yetu:
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wawakilishi wa mradi wa ZEET pamoja na baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya utalii na ufundi umeme wa “solar”. Makamu wa Kwanza wa Rais wa…

Rate this: