Nasaha za Dk.Amani Karume kwa CCM

 

Advertisements

Mkutano wa CUF Tibirinzi Chake Chake Februari 09,2014

Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Maalim Seif Shariff Hamad akiwahutubia wanachama wa CUF na Wazanzibari kwa ujumla katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tibirinzi Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba zaidi angalia Vidio…

Mjumbe wa Kamati ya maridhiano Zanzibar .
Mh,Mansour Yussuf Himid amesema hivi karibuni alikuwa mwakilishi wa CCM na alifukuzwa kutokana na msimamo wa kudai Zanzibar huru yenye mamlaka yake kamili ambapo jambo hilo lilikuwa tofauti na wenzake wa CCM.

Mh,Mansour aliyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliandaliwa na chama cha wananchi CUF katika kiwanja cha Tibirinzi Chake Chake Pemba siku ya jumapili ya tarehe 9/2/2013 ambapo walialikwa kama wajumbe wa kamati ya maridhiano Zanzibar. Continue reading Mkutano wa CUF Tibirinzi Chake Chake Februari 09,2014