Niijuwavyo Zanzibar

Wazazi wangu, Mervyn na Auderey Smithman, walikwenda Tanganyika mwaka 1946 baada ya vita kutokea katika Serikali ya Kikoloni ya Muingereza. Baba yangu alikuwa na cheo cha luteni kanali katika jeshi la kikoloni la Uingereza katika Afrika ya Mashariki (Kings African Rifles). Alitokea Nyasaland (Malawi) na alikuwa na uwezo wa kuzungumza lugha ya Chinyanja, kwa hivyo…

Rate this:

Wazanzibari Watumie Nguvu ya Umma kuuondoa Utawala wa Kidiketa Zanzibar

Wasomi wa sheria na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanakubaliana ya kwamba ‘nguvu ya umma’ ni mamlaka ya juu zaidi katika nchi. Kauli hii inaweza kuwashangaza wengi wanaoamini kwamba Katiba ndio mamlaka ya mwisho katika nchi. Bila shaka hilo ni sahihi pia, na yote haya husimama katika mukatadha tofauti. Kwa upande mmoja, dhana ya Katiba…

Rate this:

La MCC na unafiki wa wajiitao wazalendo

Wahafidhina mambo leo wamejipa peke yao haki ya kuwa wazalendo wa nchi yetu. Ufuasi wao kwa chama tawala (CCM) na serikali zake wanaufananisha na uzalendo wa kweli kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan… Source: La MCC na unafiki wa wajiitao wazalendo

Rate this:

Dk. Shein, kioo kitakuambia wewe ni Ali tu

Jumatatu ya tarehe 21 Machi 2016, Dk. Ali Mohamed Shein ataamka mapema kisha atasimama mbele ya kioo chake kujiangalia. Ile taswira kwenye kioo itamuambia: “Wewe ni Ali tu!” Mwangwi wa … Source: Dk. Shein, kioo kitakuambia wewe ni Ali tu

Rate this: