Katiba ishaota mbawa

Originally posted on Zanzibar Daima:
Ilikwishajulikana tangu mapema kuwa theluthi mbili 2/3 ya Kura za Zanzibar isingepatikana! Lakini zilifinyangwafinyangwa mpaka tukatangaziwa kuwa zimepatikana! Hili lilikuwa ndani ya uwezo na ghilba za kibinadamu! Lililotarajiwa baada ya hapo ni Kura ya Maoni kuhusu hiyo Katiba waliyoipendekeza kwa kulazimisha theluthi mbili! Kwa mujibu wa Sheria ya kutunga Katiba…

Rate this:

Soma gazeti lako An-Nuur Ijumaa

Originally posted on Zanzibar Yetu:
Polisi wakiri kuuwa Masheikh * Mmoja atamba kuuwa Waislamu 50 * Kamanda adai waliouliwa ni zaidi ya 500 * Serikali yaja juu, yatishia kuchukua hatua * Sheikh asema, lugha kwa kafiri ni AK-47 tu Kufru ya kutisha Zanzibar * Rais Shein afananishwa na Mungu * Mawaziri walinganishwa na Mitume Kesi…

Rate this: