Hatumtambui Shein – CUF

Hatutambui hicho kinachoitwa matokeo ya uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, 2016 na kwa maana hiyo hatumtambui huyo aliyedaiwa kuwa mshindi na kwa msingi huo huo hatutoitambua wala kushirikiana… Source: Hatumtambui Shein – CUF

Rate this:

CUF yakataa kumeza matapishi

Mbali na kutoshiriki uchaguzi wa marudio unaosimamiwa na ZEC, pia CUF inawataka wanachama, wafuasi wake na wananchi wote kutoshiriki katika uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Kijitoupele unaosimam… Source: CUF yakataa kumeza matapishi

Rate this:

Mazrui aachiwa kwa dhamana

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, ambaye alikuwa ameitwa na jeshi la polisi asubuhi ya leo (Machi 3), ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa kile polisi inachosema ni “kauli za uchochezi.”Mazrui, ambaye alifika makao makuu ya jeshi hilo saa 2:00 asubuhi akiambatana na wakili wake, ndiye aliyekuwa…

Rate this: