Miongoni mwa ufahamu wa watu wa kawaida hapa Ulaya kuhusu nchi yangu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya hadithini tu, ambayo ina mambo ya kushangaza na kufurahisha. Kuna hata hadithi kadhaa zimeandikwa …

Source: Miujiza ya busu la Jecha ilivyomgeuza chura kuwa Mwana Mfalme

Advertisements