Lipumba: Wanaostahili jela wanawania urais CCM

Zanzibar Yetu

Mwenyekiti chama cha wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akilakiwa na wanachama wa chama hicho alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais  kupitia CUF Dar es Salaam jana. Picha:  Said Khamis  Mwenyekiti chama cha wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akilakiwa na wanachama wa chama hicho alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CUF Dar es Salaam jana. Picha: Said Khamis

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechukua fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho na kuahidi kupambana na rushwa huku akishangaa kuwapo watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kuwa mahabusu lakini wakichukua fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM.

View original post 876 more words